SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

19 October 2012

NDOA YA MSANII AUNT EZEKIEL YAFANYIKA USIKU HUU NCHINI DUBAI

Pichani ni msanii nyota wa Bongo movie Aunt Ezekiel  akisaini cheti cha ndoa yake iliyofanyika Usiku huu nchini Dubai
 Aunt Ezekiel amekua katika mahusiano ya uchumba  na Bw Sunday Demonte na walikubaliana watafunga ndoa baada ya kubadili Dini na kuwa Muislam.

Tukio hili limefanyika kwa kufuata  misingi ya dini ya Kiislam na hii ndio stori fupi iliyotufikia na picha ,pia tutaendelea kukujuza habari na matukio zaidi kadri tutakavyo yapata.

1 comment:

Anonymous said...

Bora kaolewa,pengine atabadilika tabia kidogo na kujiheshim pia,,Allah amuongoze,,Kaolewa na wajina la kaka yake Sunday
Hanny,,London

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU